Thomas Mselemu

Msimamizi wa Tovuti
Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Blog

Samagoal na Ulimwengu tayari wapo Tz

Nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta anayechezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji na Thomas Ulimwengu kutoka Al Hil ya Sudan wameshawasili Tanzania asubuhi hii tayari kujiunga na kikosi cha timu ya Taifa. Tanzania itacheza na Uganda katika mchezo muhimu wa kutafuta tiketi ya AFCON.  ...
Blog

Manara kuongoza Watanzania kuishangilia Taifa Stars

Kama hapo awali tulivyokuwa tumetoa dokezo la kikao, vitu vichache tulikuwa tumepatia kwenye baadhi ya vitu. Abdallah Saleh na Thomas Mselemu walikuwa katika makao makuu ya shirikisho la Soka Tanzania kwaajili mkutano huo. Klabu ya Simba yaomba radhi kwa Shirikisho na Watanzania Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara, amesema...
Mabingwa Ulaya

Nani kupangwa na nani, Klabu Bingwa Ulaya

UHISPANIA: Real Madrid, Atlético Madrid, Barcelona, Valencia UJERUMANI: Bayern München, Borussia Dortmund, Schalke, Hoffenheim UINGEREZA: Manchester City, Manchester United, Tottenham Hotspur, Liverpool ITALIA: Juventus, Napoli, Roma, Internazionale Milano UFARANSA: Paris Saint-Germain, Lyon, Monaco URUSI: Lokomotiv Moskva, CSKA Moskva URENO: Porto UKRAINI: Shakhtar Donetsk UBELGIJI: Club Brugge UTURUKI: Galatasaray CHEKI: Viktoria...
Sportpesa

Yakubu wa Everton awapotezea kina Nyoni na wenzake.

Baada ya klabu ya soka ya Simba kufanikiwa kuingia katika fainali ya michuano ya Sportpesa Supercup mchezaji wa zamani wa Everton ya England amewapotezea mabingwa hão wa VPL. Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Nigeria "The Super Eagle" na mshambuliaji wa zamani wa Everton ya England  alikuwepo katika...
Sportpesa

Usajili Simba hamna kituu!

Pamoja na kufanikiwa kuingia fainali ya michuano ya Sportpesa Supercup nchini Kenya baada ya kuwafunga wababe wa Yanga Kakamega Homeboys bado usajili wao haujawasaidia. Ikumbukwe mpaka sasa Simba hawajafanikiwa kufunga hata bao moja katika michuano hiyo baada ya kuwatoa pia kwa mikwaju ya penati Kariobangi Sharks katika mchezo wa kwanza...
Ligi KuuUhamisho

Singida Utd yaweka hadharani usajili wake!

Klabu ya Singida utd leo imezungumza na waandishi wa habari na kufafanua mambo mbalimbali yanayohusu klabu kuelekea fainali ya Azamsports FederationCup itayopigwa June 2 Arusha katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Moja ya habari kubwa ni kuweka wazi usajili wao msimu ujao huku ikiwapiga bao Yanga kwa mnyakua winga wa...
Ligi Kuu

Jezi namba moja ina gundu VPL!

Katika mchezo wa mpira wa miguu jezi namba moja inajulikana kwa matumizi ya mlinda mlango awapo uwanjani. Imezoeleka na ipo hivyo kuwa kila wakati anaevaa namba moja ndie mlinda mlango wa timu. Ingawa huwa kuna kipa namba mbili ambao hulazimika kuvaa namba nyingine katika jezi yake. Katika Ligi Kuu Bara...
Ligi KuuUhamisho

Adam Salamba amalizana na SimbaSc

Mshambuliaji wa Lipuli fc ya Iringa Adam Salamba ni rasmi sasa atajiunga na SimbaSc baada ya kukubali kusaini kandarasi na mabingwa hao wapya wa VPL. Mshambuliaji huyo anaesifika kwa matumizi ya nguvu amejiunga na klabu ya Simba kwa  mkataba wa miaka miwili huku akizoa donge la milioni 40 kwa kusaini...
1 56 57 58 59 60 66
Page 58 of 66