Marcel Kaheza na SimbaSc kwisha habari!
Mshambuliaji wa Majimaji Marcel Boniventure Kaheza "Rivaldo" mwenye mabao 13 katika VPL ni swala la muda tuu kupewa jezi ya Simba rasmi. Mchezaji huyo wa zamani Simba ni kama anarudi nyumbani baada ya kukitumikia kikosi hicho alipokua kinda akiwa Simba B, kabla ya kutolewa kwa mkopo kwenda Majimaji ilipopanda daraja...