Sambaza....

Mwalimu Mnigeria Emmanuel Amunike  kwa mara ya kwanza anaiongoza Taifa Stars katika mchezo wa mashindano dhidi ya Uganda  huku akiwaanzisha wachezaji wote wanaocheza nje katika eneo la ushambuliaji!

Mwalimu anaenda kutumia mfumo wa 3:5:2 ambao umepata umaarufu kwa siku za karibuni hapa nchini.

Kikosi kamili kipo hivi:

1. Aishi Manula

2. Hassan Kessy

3. Gadiel Michael

4. David Mwantika,

5. Abdi Banda

6. Agrey Morris

7. Frank Domayo

8. Mudathir Yahya

9. Mbwana Sammata

10. Thomas Ulimwengu

11. Simon Msuva.

 

Sambaza....