EPL

EPL

Haueni, Lallana kurejea uwanjani baada ya Mwezi mmoja

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Adam Lallana huenda akarejea uwanjani kuendelea na mapambano ya soka baada ya mwezi mmoja, kutokana na jeraha la nyonga alilolipata na kumsababishia kuondolewa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England kinachojiandaa na mchezo wa ligi ya mataifa ya Ulaya (UEFA Nations League) dhidi ya...
EPL

Keita ni Ukamilisho wa torati ya Van Djik

Vitu vingi viliongelewa sana , na kitu kikubwa ambacho kilikuwa kinazunguka katika vinywa vya watu wengi na kauli ya Jurgen Klop. Kauli ambayo aliitoa kipindi ambacho Manchester United wamemnunua Paul Pogba. Hakutaka kuamini kama soko la mpira wa miguu limefikia hatua ya klabu kutoa pesa kubwa kwa ajili ya kununua...
EPLUhamisho

Olympiakos wamkana Yaya Toure

Uongozi wa klabu ya Olympiakos ya Uguriki umeshindwa kutoa tamko lolote, baada ya kuhusishwa na mpango wa kutaka kumrudisha kiungo kutoka Ivory Coast, Yaya Toure. Toure, ambaye kwa sasa ni mchezaji huru, baada ya kuachwa na mabingwa wa soka nchini England Man City mwishoni mwa msimu uliopita, amekua katika harakati...
EPL

Kipatacho: Sare na Alliance ni ya malengo.

Meneja wa timu ya soka ya African Lyon, Adam Kipatacho amesema sare ya mchezo wao dhidi ya Alliance kwenye mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara uliofanyika CCM Kirumba ilipatikana baada ya lengo la kulilinda bao walilolipata kipindi cha kwanza kushindikana. Kipatacho amesema sio kwamba walizidiwa katika mchezo hadi kuruhusu...
EPL

Mourinho, Kocha bora wa kujizuia aliyepoteza nguvu zake.

José Mário dos Santos Mourinho Félix ndiyo majina ambayo alipatiwa miaka 55 iliyopita. Ilikuwa ni ngumu kugundua mapema kuwa huyu atakuja kuwa kocha bora duniani. Kocha ambaye alikuja katika kipindi ambacho vijana wengi walikuwa hawapewi nafasi ya kuwa makocha wakuu katika timu zao. Mikono yake ilifanikiwa kufuta hiyo dhana, kila...
EPL

Tatizo linaanzia kwenye Kivuli cha Ferguson

Alama yake aliitumia kuiweka kwa miaka 27, umri wa mtu mzima. Akili, nguvu na muda wake mwingi aliuwekeza katika maisha ya Manchester United. Ndiyo maana alifanikiwa kuwa kocha mwenye mafanikio makubwa sana katika klabu ya Manchester United Alihakikisha kila sekunde inayopita katika maisha yake ilikuwa ni muhimu kuwapa furaha mashabiiki...
EPL

Tatizo gari alilopanda Pogba, Dereva ni Raiola!

Pesa zilianza kumzoea mapema sana. Hakuweza kukaa bila na pesa yoyote mfukoni mwake tangu akiwa mtoto. Kwake yeye pesa kilikuwa kitu muhimu sana kuliko mwanamke. Vijana wengi wanapofikia umri wa kubalehe huwa machizi wa kutamani kuwa na wanawake wengi, lakini kwake ilikuwa tofauti kabisa. Alikuwa binadamu mwenye asili nyingine na...
EPLUhamisho

Wayne Rooney anaelekea kustaafu.

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United, Wayne Rooney, aliecheza kwa mfanikio katika klabu hiyo kabla ya kurudi tena katika klabu yake ya awali ya Everton FC, anatarajia kwenda marekani. Imeripotiwa na skysports.com kuwa kwa sasa yupo katika mazungumzo na klabu ya DC United  yenye makazi yake pale Washington DC. Wayne...
EPL

Unai ashauriwa kuwaruhusu wachezaji nane, akiwemo Iwobi

Mchezaji wa zamani wa Chelsea Tony Cascarino amemshauri kocha mpya wa Arsenal Unai Emery kuwaondoa wachezaji nane kikosini akiwemo mshambuliaji wa Mnigeria Alex Iwobi. Cascarino anaamini kwamba mchezaji Iwobi mwenye umri wa miaka 22 hawezi kuimarika zaidi ya kiwango chake cha sasa na anatakiwa kuondolewa kikosini. "Sidhani kama Iwobi anaweza...
1 8 9 10 11 12 15
Page 10 of 15