Sambaza....

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United, Wayne Rooney, aliecheza kwa mfanikio katika klabu hiyo kabla ya kurudi tena katika klabu yake ya awali ya Everton FC, anatarajia kwenda marekani. Imeripotiwa na skysports.com kuwa kwa sasa yupo katika mazungumzo na klabu ya DC United  yenye makazi yake pale Washington DC.

Wayne Rooney, alipigwa picha jijini Washington (Picha na Abreham Tamiru / Storyful)

Vyanzo vinasema, Rooney huenda pia akafanya vipimo vya afya pia kujiunga na timu hii iliyo MLS.

Miaka Timu Mechi Magoli
2002–2004 Everton 67 15
2004–2017 Manchester United 393 183
2017– Everton 31 10

-Rekodi za Wayne Rooney.


Habari nyingine za Uhamisho:


Fred kuelekea Manchester United

Fred plays for Shakhtar Donetsk in Ukraine

Mazungumzo yanaendelea vizuri kati ya Manchester United na kiungo Mbrazili wa Shakhtar Donetsk, Fred, mwenye miaka 25. Man Utd wanakimbizana na muda kabla ya kuanza kwa kombe la dunia huko Urusi.

Sambaza....