Mechi zilizoipa ubingwa Man City mapema!
Manchester City ilianza harakati zake za ubingwa msimu huu kwa kudroo na Everton tena nyumbani Etihad kabla ya kurudi na kukaa sawa na kuifunga Bournemouth ugenini. Ligi ya Uingereza inayosifika kwa soka la kibabe na nguvu lilishindwa kufua dafu mbele ya Guardiola aliekuja na "soft football" na kutangaza ubingwa mapema...