EPL

EPL

Shearer awatoa Arsenal, Chelsea mbio za Ubingwa EPL.

Mshambuliaji wa zamani wa Newcastle United Alan Shearer amesema ligi kuu ya England ni kama ya mafarasi wawili kwa sasa licha ya baadhi ya timu kuendelea kufanya vizuri mpaka sasa mechi nane zikiwa zimeshachezwa. Shearer amesema ingawa alama ambazo zinawatofautisha timu tano za juu ni alama mbili lakini bado anaziona...
EPL

Mambo matano usiyoyajua kuhusu John Terry

Baada ya kutumia miaka 23 akiwa uwanjani kama mchezaji wa mpira wa miguu , jana John Terry alitangaza rasmi kustaafu kucheza soka la ushindani. Yafuatayo ni mambo matano ambayo unatakiwa kuyajua kuhusu John Terry. 1: Alikuja Chelsea akiwa na miaka 14 kama mchezaji wa academy akitokea katika timu ya Westham....
EPL

Vitu vitano vilivyomuokoa Mourinho

Jana ile sura ya Sir Alex Ferguson ilionekana kwenye timu ya Jose Mourinho. Manchester United walikuwa nyuma ya magoli 5 kipindi cha kwanza, lakini kipindi cha pili waliingia na kushinda mechi kwa magoli 3-2. Ipi ilikuwa silaha kubwa ya Manchester United katika mechi ya jana? 1: Kwa mara ya kwanza...
EPL

Mambo kumi yanayoisibu Man Utd.

Manchester United imekuwa timu ya kawaida kwa sasa, haiogopeshi tena kama kipindi kile. Kipindi ambacho kila ukiona taya la Sir Alex Ferguson unaona ushindi ndani yake. Ndicho kipindi ambacho timu ilikuwa inapigana mpaka dakika za mwisho, haikuruhusu neno kupoteza mchezo liwepo katika akili yao. Kwao wao kushinda mechi ilikuwa utamaduni...
EPL

Upendo wa mashabiki wa United ni mwanga kwenye giza la Martial

Upendo alianza kuutengeneza alipofika katika uwanja wa Old Trafford akiwa kama kijana mwenye kipaji cha hali ya juu. Kipaji ambacho kilibeba matumaini ya watu wengi. Kila mtu alimtazama katika jicho lake. Kuna watu walimtazama kama kijana ambaye atakuja kuisumbua dunia kutokana na kipaji chake kikubwa, na wengine walifikia hatua ya...
EPL

Wenger, Conte watajwa kuwa warithi wa Mourihno.

Kocha wa Manchester United Jose Mourihno ndiye kocha ambaye amechaguliwa kwa kura nyingi kuwa kocha wa kwanza kuondoka katika ligi kuu England akifuatiwa na Mark Hughes wa Southampton. Kocha huyo ambaye ameandikisha matokeo mabovu toka katika michezo ya kujiandaa na msimu amepewa alama 8/11 kuondoka katika kibarua hicho huku Mark...
EPL

Antonio: Mapumziko katika kalenda ya FIFA yamekuwa Baraka kwetu.

Winga wa West Ham United Michail Antonio amesema mapumziko ya kupisha mechi za Kimataifa zilizokuwepo kwenye kalenda ya FIFA yamekuja katika muda sahihi kwa timu ambazo zilikuwa zimeanza vibaya kwenye ligi kuu ya England ikiwemo West Ham. Wagonga nyundo hao wa jiji la London wameanza vibaya kwa kufungwa michezo yote...
EPL

Keita awaomba uvumilivu mashabiki wa Liverpool.

Kiungo wa Liverpool Naby Keita amesema anahitaji muda ili kuthibitisha ubora wake na kufidia ada ya uhamisho ya Dollar Milioni 63 ambazo zililipwa kumsajili akitokea RB Leipzig ya Ujerumani. Keita ambaye ni raia wa Gini ameyasema hayo wakati akihojiwa na Jarida la Klabu ya Liverpool wakati wakijiandaa na mchezo wa...
EPL

Mzimu wa msimu wa tatu uko kwenye nyayo za Mourinho

Jose Felix Mourinho, Mreno mwenye mafanikio makubwa sana katika ngazi ya ukocha. Mafanikio ambayo yalianza kama kitu cha kushangaza kwa sababu aliwashangaza wengi kupata mafanikio makubwa akiwa na klabu ya FC Porto. Timu ambayo ilikuwa haidhaniwi kama inaweza kutoa ushindani kwa timu kubwa kama Realmadrid, Bayern Munich, Barcelona , Manchester...
1 7 8 9 10 11 15
Page 9 of 15