Ligi Kuu

Nani anaibeba Simba Sc?

Sambaza....

Klabu ya Simba ambayo ni bingwa mtetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, imebakiwa na mchezo mmoja tu kumaliza mzunguko wa kwanza dhidi ya Alliance.

Jumla ya mabao 31 yamefungwa na wachezaji wa Simba, na kuisaidia klabu hiyo kuendelea kuongoza Ligi hiyo. Kagere akiwa kinara wa magoli, tazama jedwali hili.


Na.MchezajiNafasi
1rwaMeddie KagereMshambuliaji22
2tanJohn R. BoccoMshambuliaji9
3codDeo KandaMshambuliaji8
4tanMiraji AthumaniMshambuliaji7
5tanHassan DilungaKiungo7
6kenFrancis KahataKiungo, Mshambuliaji4
7braGerson F. VieiraMlinzi3
8sdnShaiboub A. AbdelrahmanKiungo2
9tanMohammed HusseinMlinzi2
10zamCletus ChamaKiungo2
11tanJonas MkudeKiungo2
12tanShiza Ramadhan KichuyaKiungo1
13tanIbrahim AjibKiungo1
14braTairone Santos da SilvaMlinzi1
15tanSaid NdemlaKiungo1
16tanErasto E. NyoniMlinzi1
17braWilker H. da SilvaMshambuliaji0
18tanCyprian KipenyeMshambuliaji0
19tanRashid JumaKiungo0
20tanGadiel M. MbagaMlinzi0

Sambaza....