AZIZ KI vs KIBU DENIS
Yanga na Simba zinakutana katika mzunguko wa pili…
Yanga na Simba zinakutana katika mzunguko wa pili…
Mtandao wako wa kandanda.co.tz umekuwekea kanuni za Ligi…
Bora utoe pongezi pale mtu anapofanya vizuri na usisubiri mpaka aondoke ijapo mapungufu yapo pia
Tumeona na kushuhudia vilabu vikisaini mikataba mikubwa, mirefu na minono, hii ni ishara ya kukukua
Wengi wanasema, Mchezaji anaweza kuwa Bora katika Timu Fulani, lakini akawa Mbovu katika Timu Nyingine; tena Bila sababu za Msingi..falsafa yetu ni ipi?
Ukaguzi huo umehusisha Uwanja wa Benjamin Mkapa, Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Julius Nyerere, hospitali ya Taifa Muhimbili, Uwanja wa Uhuru, na viwanja vingine vya mazoezi.
Simba wameweka Kambi Uturuki kwaajili ya maandalizi ya Michuano ya kimafaifa, nini sababu kuu ya kutoka nje ya nchi mara kwa mara.
Michezo ya Ngao ya jamii huchezwa kwa kumaanisha kuukaribisha msimu mpya wa Ligi na hivyo ni wazi bodi ya ligi wapo mbioni kutoa ratiba ya Ligi
Kufeli kwa baadhi ya sajili katika ligi yetu sio la Tanzania pekee kwani wapo baadhi ya wachezaji wakubwa husajiliwa na kushindwa kufanya vizuri
Kutakuwa na “best loser” wanne toka nafasi ya pili wataokwenda kucheza mtoano na mataifa mengine kuwania nafasi ya tisa kwa Africa.