Hizi ndio timu bora 10 katika mechi 106 zilizocheza kwa misimu mitatu. Lakini kumbuka, kuna timu mbili katika timu hizi bora msimu ujao hatutakuwanazo katika Ligi Kuu Tanzania Bara.
Alliance wanashuka dimbani jumapili hii kucheza na Mbeya City kwenye uwanja wa Nyamagana wakitoka kupata alama moja dhidi ya Tanzania Prisons baada ya sare ya bao 1-1
Mshambuliaji wa klabu ya Mbeya City, Eliud Ambokile, yupo safarini muda huu kuelekea Misri kwaajili ya majaribio karika klabu ya El Gouna SC inayoshiriko Ligi Kuu nchini humo.