Sambaza....

Timu ya soka ya PSG ( Paris Saint Germain) ya nchini Ufaransa hawachezi mechi zao mchana, mara zote wao wamekua wakicheza mechi zao usiku pekee.

Iwe michuano ya Ligi ya mabingwa Ulaya ama Ligi ya Ufaransa (League 1) wao hucheza mida ya usiku tuu.


Sambaza....