EPL

Adui No1 wa Pep Guardiola

Sambaza....

Wapwa: Kweli “zimwi likujualo halikuli likakwisha” kufuatia matokeo ya Premier league usiku wa jana inaashiria kuwa…

Patrick Vieira’ ni adui’ no 1 wa Joseph ‘Pep’ Guardiola kwa sasa

Wakati ambapo mbio za ubingwa zimefika patamu sasa Uingereza farasi wawili Man City na Liverpool wakichuana kwa kasi ya ajabu mithili ya Duma na Swala porini

Jana Pep Guardiola na kikosi chake walishindwa kupata alama tatu muhimu ikiwemo pia kulipiza kisasi kwa kijana wao
Patrick Vieira

Viera (kushoto) na Pep (Kulia)

Sijui kama wengi wanakumbuka Vieira alimalizia soka lake pale Man City mwaka 2011, japo kwa mapana yake alifanikiwa zaidi akiwa na Arsenal.

Kwenye mbio hizi ambazo kwa sasa anaongoza Man City au waweza kuiita timu ya Vieira ya zamani inaongoza ligi ikiwa na point 70 kibindoni huku ikifuatiwa na Liverpool mwenye alama 66 wakiwa na mchezo moja mkononi ambao kama akishinda ataruhusu gap la point 1

Kwanini Vieira defensive midfielder wa wakati huo akawa ‘hasimu’ mkubwa wa Joseph msimu huu?

Patrick kamkatalia katakata kama yule ‘katibu kata y


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.