BlogTFF haijui kuwatumia vizuri kina MENGIMartin Kiyumbi5 years agoHakuna kinachofanyika baada ya kuongelewa kwa maoni chanya kama hayo. Yani huu utamaduni tumejijengea na hatuna hofu nao kabisa.
BlogMpira wetu unapendwa na Watanzania masikiniMartin Kiyumbi5 years agoNa kinachouma zaidi hawa wanaopenda mpira kupitiliza ni watu masikini. Hawana uwezo mkubwa wa kifedha kwenye mfuko wao.
BlogWadau wanaelekea kuinunulia basi Lipuli FcThomas Mselemu5 years agoSio kitu cha ajabu kuchangishana, hasa kwa lengo la kusaidia maendeleo ya jambo fulani. Wadau wengine waungeni mkono pia wadau hawa.
BlogTFF kuwashughulikia kisheria wanaosambaza tuhuma dhidi ya Karia na Shirikisho.Thomas Mselemu5 years agoMarais wa Shirikisho la Tanzania na Cape Verde walitajwa kupoea rushwa kutoka kwa Ahmad Ahmad rais wa CAF
BlogNyika, Lucumay waenguliwa uchaguzi Yanga.Mwandishi Wetu5 years agoKamati ya Uchaguzi ya klabu ya Yanga imewaengua wanachama waliokuwa wameomba kugombe nafasi mbali mbali katika klabu hiyo .
BlogMalipo kwa Karia yaliidhinishwa!Mwandishi Wetu5 years agoKitu muhimu cha kujiuliza, pesa hizo zimefanya nini katika soka letu? Majibu pia utayapata hapa hapa.
BlogNilikuwa namuona Malinzi kwenye miguu ya kina KELVIN JOHNMartin Kiyumbi5 years agoLeo hii ukimsifia Kelvin John, au Edmund John unatakiwa usisahau kumsifia Jamal Malinzi katika makuzi yao.
BlogTulimsubiri Messi, ghafla tukaletewa Scott McTominayMartin Kiyumbi5 years agoScott McTomminay ambaye alifanikiwa kucheza mipira yote ya juu katika mchezo wa jana tena kwa utulivu mkubwa.
BlogMabingwa AfrikaMchezo wa TP Mazembe wahairishwa, kumuua Mnyama.Sekwao Mwendi5 years agoTP Mazembe chini ya kocha Pamhile Mihayo Kazembe, inashika nafasi ya 2 katika msimamo wa Linafoot ikiwa na alama 58 wakicheza michezo 23 nyuma ya vinara AS Club Vita wenye alama 65 katika nafasi ya kwanza wakicheza michezo 25.
BlogJe kuna haja ya CCM kutafuta muwekezaji wa viwanja vyake?KandandaChat5 years agoMjadala ulioko KandandaChat: Natamani sana Waziri Mwakyembe aigeukie CCM kama Waziri mwenye dhamana ya michezo kuwaambia wa vikarabati hivi viwanja.