La Liga

FC Barcelona mabingwa wa La Liga

Sambaza....

Lionel Messi akitokea benchi jana aliiwezesha Fc Barcelona kutwaa ubingwa wa La Liga Santander. Barcelona ilikuwa inahitaji ushindi wakati ikicheza na Levante ili itawazwe mabingwa kabla ya ligi kuisha.

Ubingwa huu unaifanya Barcelona kufikisha makombe 8 katika miaka 11 sasa.

Kwa upande wa kocha mkuu wa Barcelona, Ernesto Valverde, amesema hatamuomba msamaha Messi kwa kumtegemea sana yeye ili kuweza kupata ushindi huo. Hii inaonekana ni baada ya kuamua kumpimzisha jana na alipoingia tu akafunga bao moja pekee.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.