Shaiboub A. Abdelrahman

Sambaza....

Kiungo Bora mara mbili mfululizo wa Ligi Kuu ya Sudan na mchezaji wa timu ya Taifa ya Sudan akitokea kwa mabingwa mara tatu mfululizo wa Ligi Kuu ya Sudan klabu ya Al Hilal, Sharaf Eldin Shiboub Ali Abdalrahman amejiunga na Mabingwa wa nchi kwa mkataba wa mwaka mmoja.

-Simba Sc

Name
Shaiboub A. Abdelrahman
Utaifa
sdnSudan
Nafasi
Kiungo
Sasa
Simba SC
Leagues
TPL
Seasons
2019-2020

TPL

MsimuTimu
2019-2020Simba SC2000000
Jumla-2000000

Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.