Mbao FC vs Azam FC

Sambaza....

Hakika itakuwa ni mechi ya kuvutia! Mbao tayari imeshacheza mechi 11 na kujikusanyia alama 14 ikiwa katika nafasi ya 12, huku Azama wakiwa katika nafasi ya 14, ikijikusanyia alama 13 katika mechi 7 ilizocheza.

0 - 1
Mwisho

Mbao FC

Azam FC

Baada

Hakika itakuwa ni mechi ya kuvutia!
Mbao tayari imeshacheza mechi 11 na kujikusanyia alama 14 ikiwa katika nafasi ya 12, huku Azama wakiwa katika nafasi ya 14, ikijikusanyia alama 13 katika mechi 7 ilizocheza.

Ugumu wa mechi hii unaletwa na ugumu wa Mbao FC katika uwanja wake wa nyumbani hasa kwa timu kubwa kama Simba, Yanga na Azam. Azam ina kocha mpya ambaye bado hajawashibisha wachezaji wake mbinu zake kiasi za kuzishika sawasawa.

Kama huwa unapenda mechi za kukamia, basi hii ndio mechi ya kuitazama.

Uwanja

CCM Kirumba
CCM kirumba Rd, Mwanza, Tanzania

Taarifa

Tarehe Muda Ligi Msimu Mwisho
23/11/2019 4:00 pm TPL 2019-2020 90'

Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.