Sambaza....

Pelle anafahamika duniani kote kama mmoja ya wachezaji bora wa muda wote katika mchezo wa Kandanda. Katika maisha yake ya soka alifunga jumla ya magoli 1281.

Pelle alifunga magoli hayo akiwa anazitumikia Santos Fc, New York Cosmos na timu ya Taifa ya Brazil.


Sambaza....