Mechi ya hisani kati ya nahodha wa timu ya Taifa Mbwana Samata na msaani maarufu wa Bongo flava na mchezaji wa Coastal Ally Kiba imepigwa leo katika uwanja wa Taifa na team Samata kuibuka wababe!
Tazama hapa picha na matukio katika mchezo huo!

Sambaza…. Klabu ya Yanga watakuwa wanamkaribisha Al Hilal….Stori zaidi.
Siku moja nzuri mnamo Machi 1986, Richard Pollard alifika Fiji kufundisha katika Chuo Kikuu cha Pasifiki Kusini.