Pablo Franco
Mabingwa Afrika

Avumae baharini papa kumbe wengi wapo

Sambaza....

Leo tunasubiri kuona mechi ya kombe la shirikisho la CAF kati ya wenyeji Simba vs RS Berkane Estadio De Mkapa

Mchezo unaotazamiwa kuwa na upinzani mkubwa sana sana hasa ukirejea matokeo ya ya mechi ya kwanza ambayo Simba alipoteza 2- nyau kule ugenini Morocco

Tafiti inaonesha kuwa timu nyingi kwenye michuano ya Africa zinapata matokeo mazuri katika viwanja vya nyumbani, hivyo Simba naye anapaswa kutumia vyema uwanja wa nyumbani.

Tuisila Kisinda na Feston Abdulrazack wanatajwa sana kuelekea mchezo huu nadhani ni kutokana na kuwahi kucheza Tanzania kwa wapinzani wao Yanga

Kiukweli Tuisila na Festo si wachezaji tegemezi sana kwenye timu kama ulivyo mtizamo wa wengi angalau Kisinda anapata nafasi ya mara kwa mara kucheza na siyo Feston

Rs Berkane imekuwa ikiwategemea sana mchezaji mkongwe Berk El helali kwenye idara ya kiungo ,Younes Naim ,larbi Naji, C bahri nk
ambao ni wenyeji ( Wazawa)

Lakini ina wageni kadhaa na kuna ukomo wa kikanuni kuwatumia wag


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.