Sambaza....

Mchezaji wa zamani wa Barcelona, PSG na sasa Inter Miami hajawahi kushangilia goli kwa kuteleza kwa magoti.

Messi ni moja ya wachezaji wenye magoli mengi sana katika historia ya soka, licha ya kufunga magoli mengi hakuwahi kushangilia hata moja ya magoli yake kwa kuteleza uwanjani na magoti.


Sambaza....