Blog

Jinsi Corona ilivyogusa kandanda ulimwenguni

Sambaza kwa marafiki....

Mlinzi  Daniele Rugani kutoka katika klabu ya Juventus alikuwa ni moja kati ya wachezaji wa mwanzo kutangazwa kuwa wameambukizwa virusi vya Corona. Hawa ni baadhi ya wachezaji na makocha ulimwenguni ambao walitangazwa kupata Corona.

Ugonjwa huu hadi sasa umepelekea kusimamishwa kwa ligi zote na mashindano makubwa na madogo ulimwenguni yanayohusu soka. Kwa upande wa Tanzania tayari pia Ligi imeshasimamishwa na michezo yote husika.

Image result for Blaise Matuidi

Blaise Matuidi (Juventus na Ufaransa)

Image result for mikel arteta

Mikel Arteta (Meneja Arsenal FC)

Image result for Callum Hudson-Odoi

Callum Hudson-Odoi (Chelsea FC)

Image result for paulo dybala

Paulo Dybala 

Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz