Blog

KMC ikiwa mazoezini

Sambaza....

Klabu ya KMC iliyochini ya Jakson Mayanja, inaendelea na mazoezi yake kujiandaa na michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi Kuu Tanzania bara. Kamera za Kandanda.co.tz zilipita katia uwanja wao wa Bora-Kijitonyama kufuatilia mazoezi yao.

Hizi ni baadhi ya picha wakati wa mazoezi yao.


Sambaza....
Subscribe
Notify of

0 Maoni
Inline Feedbacks
Tazama Maoni Yote
0
Tungependa kupata maoni yako, tafadhali tuambiax
()
x