Mabingwa Ulaya

UCL Draw! Ni Barca vs United

Sambaza kwa marafiki....

Baada ya kushuhudia “Come Backs” za nguvu kutoka vilabu vya Juventus, Ajax na Man U watu wamekua na hamu kubwa ya kusubiri matokeo ya draw ili kujua nani atacheza na nani katika hatua ya robo fainali mpaka fainali.

Nusu fainali itakua!

Tottenham/Man City vs Ajax/Juventus

Barcelona/Man United vs Liverpool/Porto

Fainali Itakua!

Winner of Semi final 1 vs Winner of Semi final 2

Michezo hiyo ya robo fainali itapigwa kuanzia April 9/10 na  michezo ya marudiano itachezwa April 16/17.

Pia michezo ya nusu fainali itakwenda kupigwa April 30/May 1 na mechi za mwisho za marudiano zitapigwa May  7/8.

Fainali itapigwa June Mosi nchini Spain jijini Madrid kwenye uwanja mpya kabisa wa Athletico Madrid unaojulikana kama  Wanda-Metro Politano.

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.