Sambaza....

Kwamsaada wa mitandao, tumekuwekea hapa orodha ya mechi zote za kwanza alizocheza katika vilabu vyote hadi sasa akiwa Juventus, ikumbukwe siku ya Jumatano Ronaldo atacheza mechi yake ya kwanza katika michuano ya klabu bingwa akiwa na Juventus.


Mechi yake ya kwanza katika ligi ya ushindani
Sporting CP 0-0 Internazionale Milano
14/08/02,  Hatua ya tatu ya mtoano ligi ya Mabingwa Ulaya.

Ronaldo alingia ikiwa saa moja imeshapita, lakini hakuweza kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi


Mechi ya kwanza katika ligi ya nyumbani
Braga 4-2 Sporting CP
29/09/02, Portuguese Liga 


Mechi ya Kwanza akiwa na Manchester United
Man. United 4-0 Bolton
16/08/03, Premier League

Ronaldo akiingia badala ya Nicy Butt katika mchezo wake wa kwanza

Mechi ya Kwanza katika Klabu Bingwa Ulaya akiwa na Man Utd
Stuttgart 2-1 Man. United
01/10/03, Hatua ya Makundi

Ruud van Nistelrooy alifunga bao baada ya faulo aliyofanyiwa Cristiano Ronaldo.


Mechi ya kwanza Timu ya Taifa
Portugal 1-0 Kazakhstan
20/08/03, Mechi ya Kirafiki


Ushindi wa kwanza kombe la ligi

Man. United 3-0 Millwall
22/05/04, FA Cup

Ronaldo aliifungia Man Utd bao moja, huku mawili yakifungwa na Ruud van Nistelrooy


Fainali ya kwanza Timu ya Taifa
Portugal 0-1 Greece
04/07/04, UEFA EURO 2004

Walipoteza, Cristiano Ronaldo alisikitika sana


Kombe la Kwanza na Fainali ya Klabu bingwa ulaya
Man. United 1-1 baada ya dakika za nyongeza Chelsea (United alishinda 6-5 kwa penati)
21/05/08, Moscow


Mechi ya kwanza Real Madrid 
Real Madrid 3-2 Deportivo La Coruña
29/08/09, Liga

Cristiano aliifungia bap moja kwa mkwaju wa penati


Mechi ya kwanza akiwa Real Madrid katika Klabu Bingwa
Zürich 2-5 Real Madrid
15/09/09, Hatua ya Makundi

Ronaldo alifunga mabao mawili


Fainali ya kwanza Klabu Bingwa akiwa na for Real Madrid
Real Madrid 4-1 (Baada ya muda wa Nyongeza) Atlético
24/05/14, Lisbon

Ronaldo alifunga bao moja la Penati


Mchezao wa kwanza baada ya kujiunga na Juventus
Chievo 2-3 Juventus
18/08/18, Serie A


Mchezo wa kwanza Klabu Bingwa Ulaya akiwa na Juventus
Valencia v Juventus
19/09/18, group stage

Je atafunga?

Sambaza....