Sambaza....

Mwaka 2012 Lionel Messi alifunga mabao 91 katika michuano yote akiwa na Barcelona na timu ya Taifa ya Argentin na kupelekea kuvunja rekodi ya Gerd Muller ya magoli 85 iliyodumu kwa miaka 40.

Messi alifunga magoli 79 akiwa na Barcelona na magoli 12 akiwa na timu ya Taifa ya Argentina.


Sambaza....