Blog

Simba mpaka sasa ni bora kuliko walichovuna msimu uliopita

Sambaza kwa marafiki....

Hakuna ubishi klabu ya Simba ipo katika kilele cha mafanikio na hakuna wa kuizuia kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu. Mwaka jana wakati Simba ikichukua ubingwa ikiwa imcheza mechi 30 kushinda mechi 20, sare 9 na kupoteza mechi moja na ilipata alama 69.

Hadi sasa Simba imeshacheza mechi 30 na tayari imekusanya alama 78, ikiwa ni tofauti ya alama 9 walizochukua ubingwa msimu uliopita.

Msimamo msimu 2016/17

#TimuPWDLGDPts
1Simba SC3020914769
2Azam FC30161041958
3Yanga SC30141062152
4Tanzania Prisons3012126548

Ingawa idadi ya timu zimeongezeka lakini bado Simba ipo vizuri na imara zaidi.


Msimamo wa sasa

#TimuPWDLGDPts
1Simba SC3829636293
2Yanga SC3827562986
3Azam FC38211253375
4KMC FC38131691555
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.