
Baada ya mechi za mtoano kumalizika, Mwadui Fc na Kagera Sugar zimeungana na timu 18 za awali zikiwemo timu mbili zilizopanda daraja msimu 209/2020. Msimu huo sasa utawaka moto kwa timu hizi hapa chini.
# | Timu | P |
---|---|---|
1 | ![]() | 119 |
2 | ![]() | 111 |
3 | ![]() | 113 |
4 | ![]() | 111 |
5 | ![]() | 111 |
6 | ![]() | 113 |
7 | ![]() | 113 |
8 | ![]() | 111 |
9 | ![]() | 107 |
10 | ![]() | 111 |
11 | ![]() | 107 |
12 | ![]() | 106 |
13 | ![]() | 81 |
14 | ![]() | 106 |
15 | ![]() | 81 |
16 | ![]() | 81 |
17 | ![]() | 81 |
18 | ![]() | 76 |
19 | ![]() | 68 |
20 | ![]() | 45 |
Mwisho wa Ligi Kuu:
- Nafasi ya Kwanza na ya Pili: Ligi ya Mabingwa Afrika
- Nafasi ya Tatu: Kombe la Shirikisho la Afrika
- Nafasi ya Nne: Kombe la shirikisho itategemea kama mshindi wa nafasi ya nne ni bingwa wa FA (ASFC)
Kushuka:
Nafasi ya ya 19 na 20: Zitashuka daraja
Nafasi ya 17 na 18: Zitacheza mechi ya mtoano na timu ambazo zimeshika nafasi ya pili katika makundi ya FA.
Ushindani wa timu hizi ndio utafanya ligi yetu kuwa bora zaidi. Kandanda.co.tz itaendelea na utaratibu wa kusheherekea na wafungaji wa Mabao kila mwezi na mwisho wa msimu kumpa tunzo mfungaji bora, Galacha wa Magoli wa Kandanda.
You Might Also Like
Simba kuishusha Al-Ahly nchini.
Taarifa kutoka kwa klabu ya Simba imeeleza Al-Ahly wamekubali kushirikiana na Simba katika kujenga kituo cha kukuzia vijana cha soka, pia Alhly kuja nchini kucheza mchezo wa Kirafiki na Simbasc.
Madame Simba CEO, toka ofisini njoo huku uone.
Madam CEO toka sasa kwenye Box lako la U Director maana wakati ni huu na SISI WASWAHILI TUNASEMA USIPOUANIKA UTAULA MBICHI
Makosa ya Usajili wa Simba SC (04)
Falsafa ya Simba ni Kushambulia kwa kulimiliki eneo la kati, na ikitokea Simba wakamilikiwa kati, ujue kutakuwa hakuna ujanja mwingine....
Simba imuangalie UPYA Gomez
Kwa kuzingatia Majukumu haya mawili, acha tumchimbe Gomez wa Simba ili kujua kama atakuwa amefanikiwa au amefeli ndani ya Msimu wake mmoja.