BlogMashindano

TPDC mabingwa wa Kandanda Day 2018

Sambaza....

Tamasha la Kandanda Day limehitimishwa kwa TPDC kutawazwa mabingwa wapya wa Kandanda Day kwa mara ya kwanza baada ya kombe hilo kushindaniwa na timu kutoka katika kundi la Kandanda la Facebook.

TPDC iliingia Fainali baada ya kufanikiwa kushinda kwa mikwaju ya penati 7-6 dhidi ya Mikocheni Veterans, ambao waliamua kuondoka uwanjani  kabla ya mpambano wao wa kutafuta mshindi wa tatu.  Fainali ilizikutanisha Kandanda FC, klabu ya tovuti ya Kandanda.co.tz dhidi ya TPDC.

Tazama ratiba na matokeo hadi fainali hapa

Mshindi wa tatu katika tamasha hili alikuwa ni Finca, baada ya mpinzani wake kuondoka uwanjani.

Mchezaji wa Finca FC akiwa na bango la Spocha.

Finca FC

Kandanda FC

Mikocheni Veteran

TPDC FC

Yanga FB Fans

Makombe yaliyokuwa yakishindaniwa, Shaba (Mshindi wa Tatu), Dhahabu (Mshindi wa Kwanza) Platinum (Mshindi wa Pili)

Makombe la washindi.

Mchezaji wa Mikocheni Veteran, akiwania mpira mbele ya  Mchezaji wa Yanga FB

Jezi zawadi kwenda TPDC ambao walikuwa washindi.

Moja ya wafungaji bora akifurahia fulana ya GALACHA.

Msemaji wa TFF, Cliford Mario Ndimbo, akitoa kombe kwa nahodha wa TPDC.

Bwana Abraham Moss, Mdau wa Kandanda.co.tz akitoa kombe kwa mshindi wa pili, Nahodha wa Kandanda FC, Gerald.

Richarson Sakala, Nahodha wa Finca FC, akipokea kombe la mshindi wa tatu.

Wachezaji wa TPDC wakishangilia ushindi.

Sambaza....
Subscribe
Notify of

0 Maoni
Inline Feedbacks
Tazama Maoni Yote
0
Tungependa kupata maoni yako, tafadhali tuambiax
()
x