Taifa Stars Tanzania
Tahariri

Tunaisapoti Taifa Stars! Sambaza ujumbe huu kama upo pamoja pia.

Sambaza....

Tunayo sababu kwa sisi wa kizazi hiki ambao wengi wetu hatuna historia ya kushuhudia Timu ya Taifa ikishiriki michuano ya Afrika, kujivunia na kuiunga mkono Timu ya Taifa, Tanzania.

Bila kupapasa maneno mengi unaweza kuungana nasi kusambaza ujumbe huu kama upo pamoja pia na ni matumaini yetu Tanzania itasonga mbele. #TupoPamojaTaifaStars


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.