Blog

Ulimwengu amerudi nyumbani!

Sambaza....

Taarifa zilizotolewa na ukurasa rasmi wa TP Mazembe zinaonesha Thomas Ulimwengu anaelekea kurudi kujiunga na klabu hiyo tena kwa mara nyingine.

Ulimwengu amewahi kuichezea klabu hiyo kwa mafanikio makubwa kabla ya kuondoka na kwenda kuvichezea vilabu mbalimbali barani Ulaya na Africa pia.

Thomas Ulimwengu anarudi TP akitokea klabu ya JS Souara ya nchini Algeria kwa mkataba wa miaka miwili.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.