Sambaza....

Akiwa anacheza mchezo wake wa kwanza wa Ligi ya mabingwa Ulaya na klabu yake mpya ya Juventus Christiano Ronaldo amepata kadi nyekundu katika dakika ya 29 ya mchezo. Lakini hiyo hakuifanya Juve wasitoke na ushindi mbele ya Valencia. Baada ya kuwafunga magoli mawili kwa sifuri.

Paul Pogba akiwa nahodha wa kikosi cha leo cha Josse Mourinho amefanikiwa kuipa ushindi huku yeye akifunga magoli mawili kipindi cha kwanza na kutengeneza goli la tatu la Anthony Martial.

Matokeo yote kwa ujumla:

Kundi E

Ajax 3 vs AEK Athens 0

Benfica 0 vs Bayern Munich 2

Kundi F

Shakhtar Donetsk 2 vs Hoffenheim 2

Machester city 1 vs O. Lyon 2

Kundi G

Real Madrid 3 vs AS Roma 0

Victoria Plaizen 2 vs CSKA Moscow 2

Kundi H

Valencia  0 vs Juventus 2

Young Boys 0 vs Manchester United 3

Sambaza....