Sambaza....

Ligi ya Mabingwa Ulaya imerudi tena kwa michezo nane huku Lionel Messi na Roberto Firmino wakiachaa gumzo baada ya kuzisaidia timu zoa kuibuka na ushindi katika michuano hiyo.

Katika mchezo wa kwanza kabisa mapema Lionel Messi aliiongoza Barcelona kupata ushindi mnono wa magoli 4 dhidi ya PSV  huku yeye akifunga matatu na moja likifungwa na Ousmane Dembele.

Katika mchezo mwingine mkali wa siku kati ya Liverpool na PSG uliopigwa katika dimba la Anfield ulihitaji kusubiri mpaka dakika za”Jioni” kusubiri kuamuliwa na mtokea benchi Roberto Firmino kumaliza mchezo.

Alikua ni Daniel Sturidge na James Milner(kwa penati) walioipa uongozi Liverpool kabla ya Munier na Mmbape kusawazisha kwa PSG. Ni Roberto Firmino ndie alieamua mchezo na kuipa ushindi Liverpool huku akishangilia kwa kuziba jicho moja kama Meddie Kagere wa SimbaSc.

Matokeo ya michezo  yote ya Jana Usiku :

Group A!

Club Bruge 0 VS Borusia Dortmund 1.

Monaco 1 VS  Athletico Madrid 2.

Group B!

Imter Milan 2 VS  Totenham Hotspur 1.

Barcelona 4 VS  PSV 0.

Group C!

Liverpool 3 VS PSG 2.

Crevna Zvezda FC 0 VS SS Napoli 0.

Group D!

Galatasaray 3 VS Locomotiv Moscow 0.

Schalke 04 1  VS FC Porto 1.

 

Sambaza....