Zahera, Kocha wa Yanga
Blog

Zahera apata ulaji AS VITA

Sambaza kwa marafiki....

Baada ya Yanga kuachana na Mwinyi Zahera kama kocha mkuu wa Yanga. Kumekuwa na habari kuwa kocha huyo amepata nafasi katika klabu ya As Vita.

Zahera (Katikati)

As Vita ambayo ni timu kubwa barani Afrika iliyoko Congo , msimu juzi ilifanikiwa kuingia katika fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika.

Mwinyi Zahera alifukuzwa na Yanga Baada ya yeye kutolewa katika michuano ya CAF baada ya kufungwa na Pyramid FC ya Misri

Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz