Yanga yataja siku ya kumtambulisha Aziz Ki!
Senzo Mazingisa pia alikanusha uvumi wa Fiston Mayele kusajiliwa na Kaizer Chiefs na kusema kuna wanahabari wanataka kuwachanganya.
Feisal hakupaswa kumuwaza Aziz Ki
Nafasi anazozimudu ni zote za mstari wa mbele lakini ni mtamu zaidi akicheza 7,8 10 na 11kifupi ni' Attacking midfielder