Mabingwa Afrika

Bado una imani Simba SC itaitoa TP Mazembe? Piga kura hapa.

Sambaza kwa marafiki....

Mchezo uliopita Simba ilitoka sare tasa katika uwanja wa Taifa, ushindi wowote ule ugenini utaipeleka Simba SC hatua inayofuata. Tupe maoni yako kwa kuandika au kupiga kura.


Sorry, there are no polls available at the moment.

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.