
Mo Salah
Mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohamed Salah ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2018.
Katika kinyang’anyiro hicho Salah amempiku rafiki yake Sadio Mane ( Liverpool) na Pierre Aubameyang wa Arsenal.
Tuzo hiyo, inamfanya Salah achukue mara ya pili mfululizo.

Unaweza soma hizi pia..
Tottenham na maamuzi ya ubingwa kwa Liverpool!
Sababu kubwa ya msingi kwa Spurs kuonekana ni' mfalme' katika mechi 8 zilizobaki kwa pande zote mbili ni ubora wao miongoni mwa timu bora
Waandishi wa habari za michezo waigalagaza Unitalent.
Unitalent hawakuishia tuu kufungwa mabao mawili lakini pia waliteseka uwanjani haswa katika eneo la kiungo
Kwanini Boban Hakuyapenda Maisha Ya Ulaya…?
Yumkini Haruna Moshi alishawishiwa kutokukipenda ambacho kingemsaidia maishani. Soma stori hii
Manara: Tunataka kuujaza uwanja Jumamosi!
Msemaji huyo pia ameonyesha ni kwa kiasi gani wamedhamiria kuujaza uwanja huku akitangaza neema kwa mashabiki wa Yanga wataokata tiketi kwenda uwanjani.