archiveLiverpool Fc

Blog

Messi: Mambo bado magumu!

Nahodha wa Barcelona Lionel Messi amewaonya wachezaji wenzake kuacha kufikiria kuwa wameshamaliza kazi baada ya kuwafunga Majogoo Liverpool FC jana kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya. Messi amesema licha ya ushindi wa mabao 3-0 lakini hajatosha kabisa kuweka matumaini ya kwamba tayari...
EPL

Ukame wa mabao kwa Salah, wamlazimisha Klopp kuzungumza!

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema haoni kabisa kama mshambuliaji wake raia wa Misri Mohamed Salah anasumbuliwa na tatizo la msongo wa mawazo kutokana na kushindwa kuzitingisha nyavu katika michezo nane iliyopita. Salah ambaye msimu uliopita alifunga mabao 44 katika mashindano yote, msimu huu umekuwa mgumu kwake akifunga mabao 20...
Blog

Alexander-Arnold aondolewa kikosini England.

Beki wa kulia wa timu ya soka ya Liverpool Trent Alexander-Arnold ameondolewa kwenye kikosi cha timu ya England baada ya kupata maumivu ya mgongo ambapo kwa mujibu wa taarifa ya England ni kuwa alifika kambini akiwa na maumivu hayo lakini juhudi za kumtibu kwa haraka ziligonga mwamba.. Arnold ambaye aliitwa...
EPLLa LigaMabingwa UlayaSerie A

England ndiye mfalme wa Ulaya.

Kwa mara ya kwanza baada ya Miaka kumi, nchi moja imefanikiwa kuingiza timu nne kwenye hatua ya robo fainali ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya, baada ya usiku wa kuamkia leo Liverpool kuungana na Manchester United, Tottenham Hotspurs na Manchester City kwa ushindi wa mabao 3-1 ugenini dhidi ya Bayern...
1 2 3 5
Page 1 of 5
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz