Blog

FUFA yawasaidia wachezaji wake na Corona!

Sambaza....

Shirikisho LA mpira wa miguu la nchini  Uganda (FUFA), Limetoa msaada wa tani 12.5 za mchele kwa wachezaji na maafisa wengine wa soka ambao hawawezi kupata chakula katika kipindi hiki cha ugonjwa hatari wa Corona.

Msaada huo unaenda kwenye kamati ya kupambana na Corona lakini pia utakuwa msaada kwa wachezaji zaidi ya 2000 katika ligi zao za ndani.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.