Tanzania kufuzu Afcon ni kama filamu kwetu!
Niacheni nionekane muoga tu lakini akili yangu inampitisha moja kwa moja Algeria kuchukua nafasi moja wapo kati ya hizo mbili.
Mshambulaliaji wa Uganda kutimkia Villareal.
nchini Hispania katika timu ya Villareal baada ya kufanya vizuri katika michezo ya Kimataifa akiwa na Proline fc na timu ya Taifa ya Uganda.
FUFA yawasaidia wachezaji wake na Corona!
Chama cha soka nchini Uganda kimetoa msaada huo ili kupunguza makali katika kipindi hiki ambacho Ligi zimesimama.
Stars yafia kwa mwenyeji!
Kwa matokeo hayo sasa ni timu za Kundi A Eritrea na Uganda ndio zitakazomenyana fainali na kuweza kumpata mshindi wa michuano hiyo kwa mwaka huu.
Stars mambo ni moto Uganda anatokajee sasaa?
Kina Iddi Pazi, Peter Tino na Athumani Chama walikuepo Taifa kuwapa maneno ya ushindi kina Msuva, Samata, Yondani na wenzie.
Tanzania yapewa onyo
Tanzania inahitaji kufuzu kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1980, huku Uganda wao wakirejea baada kushiriki fainali zilizofanyika Gabon 2017.
Nakiunga mkono kikosi cha Amunike kwa sababu moja tu!
Kila mtu ana jicho lake, jinsi anavyokiona kikosi cha Amunike. kuna wanaoona kikosi kimesheheni mabeki watupu, kuna wanaoona kikosi kiliwahitaji baadhi ya nyota ambao hawakuitwa. Lakini jambo pekee la msingi la kushika ni kwamba UKOCHA NI TAALUMA.
Amunike aita kikosi cha Stars maproo 10 wajumuishwa
Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji 10 wanaocheza soka la kulipwa huku kukiwa na sura mpya kutoka klabu ya Mbao fc ya Mwanza.
Uganda haitaibeba Stars zaidi ya kuifundisha.
GOLI la kichwa la mshambulizi, Patrick Henry dakika 11 kabla ya kumalizika kwa mchezo limeipa Uganda ´Korongo´ tiketi ya kufuzu...
The Cranes kuingia kambini Nov 9, watatu wa TPL wajumuishwa.
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes' Sebastien Desabre amewaita kikosini wachezaji watatu wanaocheza Ligi kuu Tanzania...