Blog

Galacha wetu wa kukuletea stori mwezi machi huyu hapa!

Sambaza....

Kila mwezi tutakuwa tukikuletea mtu ambae amefanikiwa kuwafikia wasomaji wetu wengi katika mwezi husika. Hivyo basi kwa mwezi wa machi, ni Thomas Mselemu unaweza kusoma stori zake zilizotia fora kwa mwezi huo.

Hizi ndio stori zake zilizosomwa zaidi.

.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.