Ligi

Haruna ni mmoja tu!

Sambaza....

Haruna Moshi Shaaban almaarufu kama “Boban” ni yuleyule tuu. Haruna mchezaji wa zamani wa klabu ya SimbaSc, France Rangers Gefle FC na timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” amedhihirisha kua bado wamo na hajaishaa kiivoo.

Katika msimu huu akiwa na African Lyon kwenye Ligi Kuu Bara bado anaendelea kutema cheche zake akiwa kama mchezaji kiongozi “Nahodha” kwa watoto hao wa Mbagala chini ya mmiliki wake Raheem Kangezi.

TPL

MsimuTimu
2018-2019African Lyon FC2000000
Jumla-2000000

Katika mchezo dhidi ya Lipuli fc “wanapaluhengo” ilimchukua dakika 13 tu ili kuweza kuiandikia goli African Lyon kwa mpira wa adhabu nje kidogo ya 18.

Boban aliupa mpira kwa Kuu”cave” katika “top corner” na kumuacha mlinda mlango wa Lipuli akigalagala huku asijue chakufanya na mpira kutinga wavuni.

Mpaka mpira unamalizika katika dimba la Uhuru African Lyon mbili Lipuli fc sifuri.

Sambaza....
Subscribe
Notify of

0 Maoni
Inline Feedbacks
Tazama Maoni Yote
0
Tungependa kupata maoni yako, tafadhali tuambiax
()
x