Kagera Sugara yashuka rasmi daraja
Timu ambayo ilikuwa inasubiriwa kushuka daraja kuungana na African Lyon imepatikana rasmi. Kagera Sugar ya Kagera imeshuka rasmi baada ya kutoka sare moja kwa moja na Mbao.
Kwaheri African Lyon ligi kuu Bara.
Lyon wamebakisha kucheza na Mbeya City mwanzoni mwa mwezi wa tano, kabla ya kuwakaribisha Mbao FC na Ndanda, baadae watasafiri kucheza na Mwadui mkoani Shinyanga na watamalizia nyumbani kwa kucheza na KMC.
African Lyon yazuiwa hotelini Arusha kwa siku nne.
"Tulitegemea kupata kitu chochote baada ya mchezo wetu na Yanga kuingiza watazamaji wa kuridhisha, lakini huwezi kuamini licha ya mashabiki kujitokeza kwa wingi lakini hakuna mapato ya kuridhisha."
TFF wathibitisha kuzipeleka Simba na Yanga Arusha.
Shirikisho la soka nchini TFF limethibitisha kuwa michezo miwili ya nyumbani ya African Lyon dhidi ya Simba na Yanga itafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid uliopo Jijini Arusha.
BOBAN atakuwa na faida kubwa kwa Yanga!
Habari ambazo zimeenea na viongozi wa Yanga kuwa na kigugumizi kuthibitisha ni kuwa kiungo wa African Lyon na aliyewahi kuchezea Simba, Haruna Moshi "Boban" kuwa amesajiliwa na klabu ya Yanga.
African Lyon wateta, Boban kwenda Yanga.
Klabu ya soka ya African Lyon imesema haiwezi kuzungumza lolote kuhusu kuondoka kwa Haruna Moshi Boban ambaye anahusishwa na kujiunga na Yanga SC Kwani bado hawana uhakika na usajili huo na zingine.
Haruna ni mmoja tu!
Haruna Moshi Shaaban almaarufu kama "Boban" ni yuleyule tuu. Haruna mchezaji wa zamani wa klabu ya SimbaSc, France Rangers Gefle...
Wafaransa wa A.Lyon ni muendelezo wa ‘filamu za kuchekesha’ za Zamunda
Wakati anatua nchini kocha Mfaransa, Soccoia Lionel alisema kuwa amekuja nchini kuisaidia African Lyon kufikia kiwango cha juu, lakini baada...
Manara awajia juu wanaosambaza ujumbe wa kufungiwa na TFF.
Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano wa klabu ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Haji Sunday...
JKT Tanzania ni moto wa kuotea mbali!
Timu ya soka inayomilikiwa na jeshi la Kujenga Taifa JKT Tanzania imeendeleza kugawa vipigo katika michezo inayopigwa katika uwanja wao...