Sambaza....

Golikipa wa Yanga ambaye alikuwa amesimamishwa na kocha mkuu Mwinyi Zahera kwa utovu wa nidhamu, Beno Kakolanya amerudishwa kwenye kikosi hicho.

Habari za uhakika zinadai kuwa golikipa huyo ameshamaliza tofauti zake na kocha mkuu wa Yanga, na sasa yuko huru kuitumikia klabu hiyo ya Yanga.

Yanga inajiwinda na michuano ya Sportspesa ambayo itaanza leo hii tarehe 22. Beno Kakolanya ataongeza nguvu baada ya Ramadhani Kabwili kuumia.

Sambaza....