
Tovuti yetu ya kandanda iliwapa nafasi wasomaji wetu kutuandikia Jina la mchezaji na idadi ya magoli yatakayofungwa mwisho wa msimu wa Ligi Kuu. Hawa ndio washindi wetu ambao watakabidhiwa fulana nzuri kabisa kutoka Kandanda.co.tz ambayo ipo chini ya kampuni ya GALACHA.

Wanakandanda hawa wote walikuwa wa kwanza kutabiri mabao 23 ya Meddie Kagere. Watakabidhiwa zawadi zao wakati Kandanda wakitoa zawadi kwa Meddie Kagere.

Unaweza soma hizi pia..
Moto wawaponza Simba CAF.
Simba iatapaswa kulipa pesa hizi ndani ya siku 60 tangu kutoka kwa hukumu hiyo, lakini pia wana siku tatu za kukataa rufaa.
Simba na Yanga kukutana tena mwezi huu.
Ratiba ya kombe la Azamsports Federation Cup imetolewa leo na Shirikisho la Soka nchini TFF huku pia wakitaja na viwanja vitakavyotumika katika michezo hiyo ya nusu fainali.
Kombe la FA: Ni fainali ndani ya fainali.
Mchezo wa nusu fainali ni utakua na hadhi, ukubwa na umaarufu kuliko fainali yenyewe kutokana na aina ya wapinzani watakaokutana.
Vigogo wa Afrika wanalakujifunza kwa Simba hii!
Simba licha ya kutolewa katika robo fainali ya klabu bingwa Afrika mara mbili na Shirikisho mara moja lakini bado hakupoteza nyumbani