Jonas Mkude
Ligi Kuu

Hizi ndizo timu 18 Ligi Kuu 2020/21

Sambaza....

Msimu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara unaenda kuanza mwanzoni mwa mwezi wa Tisa. Tazama hapo chini orodha ya timu na viwanja vitakavyotumika. Kwa kufuatilia Msimamo Mubashara tafadhali bonyeza katika picha husika.

Hii ndio ile tunaita ‘Ndani ya Kumi na Nane’ ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu 2020/21.

Timu nne za chini zitashuka daraja moja kwa moja, na Timu mbili kutoka ligi daraja la kwanza zitapanda moja kwa moja.

Wakati huohuo timu zilizoshika nafasi ya 15 na 16 katika msimu wa Ligi kuu ya Vodacom zitaingia katika hatua ya mtoano dhidi ya timu mbili zilizoshika nafasi ya pili Ligi Daraja la Kwanza.

Hizi ni mechi za mzunguko wa kwanza na wa pili kwa timu zote kuanzia tarehe 6 mwezi wa tisa. Timu yako itavuna alama ngapi katika mechi hizi?


Sambaza....