Blog

Kikosi kinachotisha, unakumbuka nini zaidi hapo?

Sambaza....

Hii ni ile Simba SC iliyoshinda “BACK2BACK” Ligi Kuu ya Tanzania Bara, lakini pia ndiyo iliyofanikisha Tanzania iweze kuingiza timu nne katika mashindano ya CAF, kwa kufika hatua nzuri zaidi katika klabu Bingwa Afrika.

Lakini tujadili, hiki ni kikosi kilichotisha sana hata ukikiaangalia tu, tutajie majina yao katika picha hii na tuambie kitu gani kiliwafanya waonekane ‘nyau’ katika mechi za klabu Bingwa msimu huo.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.