Mohammed Ibrahim
Blog

Kiungo wa Simba atimkia Kagera Sugar

Sambaza....

Unaukumbuka ule utatu mtakatifu wa Shiza Ramadhani Kichuya, Mzamiru Yassin na Mohammed Ibrahim ? Utatu huu ulikuwa chini ya kocha Joseph Omong.

Lakini mpaka sasa hivi utatu huu umeshavunjika. Waliopo kwenye kikosi cha Simba ni wawili tu, Shiza Ramadhani Kichuya pamoja na Mzamiru Yassin na wote wanaonekana hawana nafasi ya moja kwa moja kwenye kikosi.

Mohammed Ibrahim amesajiliwa rasmi na timu ya Kagera Sugar kwa ajili ya msimu ujao.Klabu ya Kagera Sugar imekamilisha usajili wa mchezaji huyo wa zamani wa kama mchezaji huru.Mohamed Ibrahim amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuitumikia klabu hiyo.

Sambaza....