BlogTetesi

Mabadiliko yanakuja tena Simba, Manara anaelekea Benchi?

Sambaza kwa marafiki....

Taarifa ambazo Kandanda.co.tz imezipata zidai huenda Mtangazaji kijana aliyebobea Gift Macha kuchukua nafasi ya afisa habari wa klabu ya Simba Sc.

Nafasi hii ilitangazwa na klabu hiyo, kwa sasa nafasi hiyo inashikiliwa na Haji Manara kama msemaji wa klabu hiyo.

Zaidi zitafuata…

Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz