
Msimu huu ligi kuu ya Tanzania bara imemalizika bila ya kuwa na mdhamini mkuu wa ligi kuu. Akizungumza na waandishi wa habari, mkurugenzi mtendaji wa bodi ya ligi Boniface Wambura, amedai kuwa msimu ujao ligi kuu itakuwa na mdhamini.
“Msimu ujao ligi kuu itakuwa na mdhamini pamoja na wadhamini wengine wengi wadogo wadogo ndani ya ligi”.
Lakini pia Boniface Wambura amezisihi vilabu vya ligi kuu kutafuta wadhamini wengine wa ndani ya vilabu.
” Tunavihasa vilabu pia vitafute wadhamini wengine ndani ya klabu ili kupunguza makali ya uendeshaji wa vilabu”-Alisema mkuregenzi huyo wa bodi ya ligi.
Unaweza soma hizi pia..
Kipa Dodoma katolewa tuu kafara!
Ndani ya miaka miwili unataka kuniambia ameisha kabisa? Je hatupaswi kumshukia kocha wake wa makipa?
Alli Kamwe: Yanga imeifunga Yanga B!
Bao la 2 la Yanga ni OFFSIDE. Kama Shuti la Mauya lingekwenda moja kwa moja, hakuna tatizo.
Kocha Yanga: Kesho tunacheza mechi mbili.
Yanga wakaua makao makuu ya nchi Jijini Dodoma kupepetana na Dodoma Jiji katika Ligi Kuu ya NBC.
Kwa Yanga hii ubingwa upo palepale!
presha ya ubingwa kuanza kutawala kuanzia kwa mashabiki mpaka kwa wachezaji wa Yanga.