Clatous Chama akimnyanyasa mchezaji wa Al Ahly walipokutana katika dimba la Benjamin Mkapa
Mabingwa Afrika

Nani anashinda? Nani anaingia Robo fainali? kwangu ni Simba!

Sambaza....

Ungana nami katika hatua hii ya mwisho kabisa ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Katika Kundi D kila timu inaonekana kuwa na nafasi. Lakini Je nani ataenda? na nani atabaki? Simba SC je ina nafasi… kwangu ni Ndio!

Nitakuwa nakuletea Dondoo wakati wa mechi hii na wewe msomaji wetu mpendwa unaweza kuungana nami katika sehemu ya maoni hapo chini au katika kurasa zetu za Jamii Twitter, Facebook na Instagram


2 - 1
Uwanja wa Mkapa

Simba SC vs AS V.Club



Msimamo wa Kundi D

Klabu Bingwa Afrika: Kundi D

PosTimuPWDLFAGDPts
16312113810
26303613-79
3622269-38

 

#KandandaChat:

Vikosi vya mechi ya Simba vs AS Vita tayari vipo hewani.

Kikosi cha Simba SC. 1 A. Manula 2. Z. Coulibaly 3. M. Hussein 4. P. Wawa 5. E. Nyoni 6. J. Kotei 7. H. Niyonzima 8. M. Yassin 9. M. Kagere 10.J. Bocco 11. E. Okwi Sub: Deo munishi, Kwasi, Bukaba, Ndemla, Dilunga, Salamba, Chama Mfumo: 4;4;2

Kikosi cha Timu ya AS VITA CLUB ambacho kipo tayari kupambana na Simba SC.

Sambaza....
Subscribe
Notify of

0 Maoni
Inline Feedbacks
Tazama Maoni Yote
0
Tungependa kupata maoni yako, tafadhali tuambiax
()
x